CoNept Afya Consultation

CoNept Afya Consultation

Thursday, September 12, 2013

Kwa nini sukari inasemekana inatibika??

Mpendwa msomaji, Ugonjwa wa kisukari unazidi kukua kwa kasi kubwa hapa nchini, kwa utafiti uliofanyika ugonjwa huu unakuwa kwa asilimia 46% inaonyesha kila penye watu kumi watatu wanakisukari. Hiii inaonyesha bado uelewa wetu wa jinis ya kujikinga na ugonjwa huu ni mdogo Ugonjwa wa kisukari unasababishwa zaidi na maisha tunayoishi yaani aina ya vyakula tunavyokula, kutofanya mazoezi, na pia mazingira. Vyakula tunavyokula hivi leo wengi hatuzingatii maelekezo yaliyotolewa na shirika la afya ulimwenguni yaani kula matunda kwa wingi (aina tano za matunda na aina 7 ya mboga za majani) mazoezi angalau dakika ishirini, nafaka kamili yaani tusikoboe nafaka zetu, tule protini ya soya na wala si nyama (ikiwezekana kula kinyango vitatu kwa wiki) punguza sukari na mafuta. Vyote hivi kwa mazingira ya mtanzania wa leo anashindwa kuzingatia kutokana na kipato kidogo pia uwezekani wa kuhipata hasa sehemu ya kazi ni ndogo zaidi tunaweka mafuta na sukari kwa wingi mwilini ndio maana cell za mwili zinashindwa kurespond kama inavyotakiwa Kwa kuwa ugonjwa huu unasababishwa na kongosho kushindwa kufanya kazi ya kuzalisha insulin kwa kiwango kinachotakiwa mwilini, mgonjwa anatakiwa ale lishe itakayoliwezesha kongosho kufanya kazi. Yaani kongosho linahitaji kupewa nguvu ya kuweza kuzalisha insulin kwa maana hiyo mgonjwa akiweza pata lishe hii atapona na hatosumbuliwa tena na kisukari. Pia lishe bora itaziwezesha cell zinazopokea insulin ziweze kurespond kama inavyotakiwa. Cell ikishindwa kupokea insulin mgonjwa huyu yuko kwenye hatari ya kushindwa kuthibiti sukari yake. Hivyo sukari inatibika endapo tuu mtu atakuwa tayari kufuata lishe bora na kujali afya yake Kwa kuwa virutubisho vingi tunashindwa kuvipata kwa kiwango kinachotakiwa conept afya inakupa virutubisho hivyo vilivyoandaliwa kwa kiwango cha hali ya ju, na zaidi ya asilimia 95 waliovitumia wamefanikiwa kupona kisukari na hawasumbuliwintena Virutubisho hivyo vimewekwa kwa mfumo wa vidongo Kazi ya virutubisho hivi ni kwenda kufanya kazi kwenye kongosho moja kwa moja na kumsaidia mwili wa mgonjwa uweze kujitegemea kuzalisha insulini wenyewe, pia zinaenda kusaidia katika uzalishaji wa cell yaani kuifanya iweze kufanya kazi iwe na nguvu ya kupokea insulin vyema na kubalance sukai mwilini na ndio maana mgonjwa anayetumia virutubisho vyetu anapona Kwa maelezo zaidi ya ufanyaji kazi wa dawa zetu tafadhali usisite kutuandikia Email: consultationlifestyle@gmail.com Mobile: 0758768855, 0712294734